Nenda kwa yaliyomo

Tamasha la Sasabobirim

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tamasha la Sasabobirim ni tamasha la kila mwaka linaloadhimishwa na machifu na watu wa Eneo la kitamaduni la Awuah-Domase karibu na Sunyani katika Mkoa wa Bono, ambao hapo awali ilikuwa sehemu ya Mkoa wa Brong-Ahafo wa Ghana. Kwa kawaida huadhimishwa katika mwezi wa Novemba.[1][2][3] Wengine pia wanasema kwamba linasherehekewa mnamo mwezi wa Septemba.[4]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Festivals Ghana - Easy Track Ghana". www.easytrackghana.com. Iliwekwa mnamo 2020-08-25.
  2. "Quantum Tours - Brong Ahafo Region". www.quantumleaptravels.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-01-19. Iliwekwa mnamo 2020-08-25.
  3. Boateng, Kwabena (2015-09-12). "List of festivals in Ghana". GhanaCulturePolitics (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-01-20. Iliwekwa mnamo 2020-08-25.
  4. "Festivals". www.nhoc.gov.gh. Iliwekwa mnamo 2020-08-25.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Sasabobirim kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.