Nenda kwa yaliyomo

Tamasha la Paragbeile

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tamasha la Paragbeile ni tamasha la kila mwaka linaloadhimishwa na machifu na watu wa Tumu katika Mkoa wa Upper West wa Ghana. Kwa kawaida huadhimishwa katika mwezi wa Januari.[1][2] na Februari.[3]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Festivals Ghana - Easy Track Ghana". www.easytrackghana.com. Iliwekwa mnamo 2020-08-23.
  2. Briggs, Philip; Rushton, Katherine (2007). Ghana: The Bradt Travel Guide (kwa Kiingereza). Bradt Travel Guides. ISBN 978-1-84162-205-7.
  3. "Visit Tumu / Ghana - Travel guide of Tumu - Petit Fute". www.petitfute.co.uk. Iliwekwa mnamo 2020-08-23.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Paragbeile kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.