Tamasha la Omabe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tamasha la Omabe ni tamasha la pekee na tofauti na matamasha mengine yanayofanyika kila mwaka kwani tamasha la Omabe hufanyika kila baada ya miaka mitano. Tamasha hili ni hazina kwa watu wa Imufu, mkoa wa Nsukka na Ezike katika jimbo la Enugu. Tamasha hili limekuwepo kwa karne kadhaa sasa na unaumuhimu mkubwa sana kwa watu wa Imufu na ishara ya utakaso na kuondoa maovu katika jamii.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Enugu community celebrates Omabe festival in grand style". Vanguard News (kwa en-US). 2020-09-30. Iliwekwa mnamo 2021-08-18. 
  2. "Omabe masquerade festival: Imufu community’s cultural heritage of all ages". Vanguard News (kwa en-US). 2015-05-13. Iliwekwa mnamo 2021-08-18.