Nenda kwa yaliyomo

Tamasha la Odwira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tamasha la Odwira linaadhimishwa na machifu na watu wa Wilaya ya Fanteakwa na Akuapem katika Mkoa wa Mashariki wa Ghana. Tamasha la Odwira linaadhimishwa na watu wa Akropong-Akuapim, Aburi, Larteh, na Mamfe. Hili huadhimishwa kila mwaka katika miezi ya Septemba na Oktoba. Tamasha hili linasherehekea ushindi wa kihistoria dhidi ya Waasanti mnamo mwaka 1826.[1] Hii ilikuwa ni vita vya Katamanso karibu na Dodowa. Tamasha hili liliazimiwa kwa mara ya kwanza mnamo Oktoba 1826.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Odwira Festival". Iliwekwa mnamo Julai 3, 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Odwira kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.