Nenda kwa yaliyomo

Tamasha la Nkyidwo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tamasha la Nkyidwo ni tamasha la kila mwaka linaloadhimishwa na machifu na watu wa Essumeja katika Wilaya ya Bekwai katika Mkoa wa Ashanti wa Ghana. Kawaida huadhimishwa Jumatatu ya mwisho ya Novemba au Jumatatu ya kwanza ya Desemba.[1][2][3]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Festival | The Embassy of the Republic of Ghana, Berlin, Germany" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-08-17.
  2. "Festivals Ghana - Easy Track Ghana". www.easytrackghana.com. Iliwekwa mnamo 2020-08-17.
  3. "Ashanti Region – Rockville Place" (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-01-24. Iliwekwa mnamo 2020-08-17.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Nkyidwo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.