Nenda kwa yaliyomo

Tamasha la Kuure

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tamasha la Kuure ni tamasha la kila mwaka linaloadhimishwa na machifu na watu wa Zaare katika Mkoa wa Upper East wa Ghana ambao kwa kiasi kikubwa ni mashihi. Kwa kawaida huadhimishwa katika miezi ya Januari na Februari.[1][2]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Kuure Festival – FIANDAD GHANA LIMITED" (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-08-09. Iliwekwa mnamo 2020-08-21.
  2. "Festival | The Embassy of the Republic of Ghana, Berlin, Germany" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-08-21.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Kuure kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.