Nenda kwa yaliyomo

Tamasha la Kusebko Larere

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tamasha la Kusebko Larere ni tamasha la kila mwaka linaloadhimishwa na machifu na watu wa Sumbrungu katika Wilaya ya Bolgatanga katika Mkoa wa Upper East wa Ghana. Kwa kawaida huadhimishwa mwezi wa Januari.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Festivals Ghana - Easy Track Ghana". www.easytrackghana.com. Iliwekwa mnamo 2020-08-23.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Kusebko Larere kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.