Nenda kwa yaliyomo

Tamasha la Kobine

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tamasha la Kobine linaadhimishwa na machifu na watu wa Lawra katika Mkoa wa Upper West wa Ghana.[1] Tamasha hili linaadhimishwa mwezi wa Septemba kila mwaka.[1]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 "Festivals in Ghana". www.ghanaweb.com. Iliwekwa mnamo 27 Desemba 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Kobine kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.