Nenda kwa yaliyomo

Tamasha la Kanton Jina Gbiele

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tamasha la Kanton Jina Gbiele ni tamasha la kila mwaka linaloadhimishwa na machifu na watu wa Eneo la Kitamaduni la Tumu katika Mkoa wa Upper West wa Ghana. Kwa kawaida huadhimishwa mwezi wa Januari.[1]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "National Commission on Culture - Ghana - Upper West Region". www.s158663955.websitehome.co.uk. Iliwekwa mnamo 2020-08-27.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Kanton Jina Gbiele kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.