Nenda kwa yaliyomo

Tamasha la Kalibi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tamasha la Kalibi ni tamasha la kila mwaka linaloadhimishwa na machifu na watu wa Sankana, mji ulioko katika wilaya ya Nadowli-Kaleo katika Mkoa wa Upper West wa Ghana.[1] Kwa kawaida huadhimishwa mwezi wa Aprili.[2][3][4]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "UW Deputy Minister emphasises flagship programmes will alleviate poverty". BusinessGhana. Iliwekwa mnamo 2020-08-23.
  2. "Festivals Ghana - Easy Track Ghana". www.easytrackghana.com. Iliwekwa mnamo 2020-08-23.
  3. "Festivals – Slutchtours" (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-01-18. Iliwekwa mnamo 2020-08-23.
  4. "Ghana Festivals". www.ghana.photographers-resource.com. Iliwekwa mnamo 2020-08-23.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Kalibi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.