Tamasha la Ito Ogbo
Mandhari
Tamasha la Ito Ogbo ni tamasha linalosherehekewa hasa na watu wa Obosi katika eneo la Serikali za Mitaa la Idemili North katika Jimbo la Anambra. Tamasha hili lina lengo la kusherehekea wazee walio na umri wa miaka 80 hadi 89 wakiwa bado hai.[1] Tamasha hili hufanyika kila baada ya miaka mitatu katika jamii na linaadhimisha wazee walizaliwa wakati jamii hiyo ilianzishwa.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Ito Ogbo Obosi: Celebrating the Aged Alive". THISDAYLIVE (kwa American English). 2021-03-26. Iliwekwa mnamo 2021-08-01.
- ↑ "Anambra community celebrates Ito Ogbo festival as 131 octogenarians join special club". The Sun Nigeria (kwa American English). 2021-03-24. Iliwekwa mnamo 2021-08-01.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Ito Ogbo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |