Nenda kwa yaliyomo

Tamasha la Inkronu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tamasha la Inkronu ni tamasha la kila mwaka linaloadhimishwa na machifu na watu wa Sopomu karibu na Shama katika Mkoa wa Magharibi wa Ghana. Kawaida huadhimishwa katika mwezi wa Januari.[1][2]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Festivals Ghana - Easy Track Ghana". www.easytrackghana.com. Iliwekwa mnamo 2020-08-23.
  2. "Major Festivals". www.ghanaembassyiran.com. Iliwekwa mnamo 2020-08-21.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Inkronu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.