Nenda kwa yaliyomo

Tamasha la Homowo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tamasha la Homowo ni tamasha linaloadhimishwa na watu wa Ga wa Ghana katika Mkoa wa Greater Accra.[1] Tamasha hili huanza mwishoni mwa mwezi Aprili hadi Mei kwa kupanda mazao (hasa mtama) kabla ya msimu wa mvua kuanza. Watu wa Ga huadhimisha Homowo kwa kumbukumbu ya njaa iliyowahi kutokea katika historia yao kabla ya ukoloni nchini Ghana.[1]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 "Homowo Festival". www.ghanaweb.com. Iliwekwa mnamo 2023-10-14.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Homowo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.