Nenda kwa yaliyomo

Tamasha la Gbidukor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tamasha la Gbidukor ni tamasha la kila mwaka linaloadhimishwa na machifu na watu wa Gbi katika Mkoa wa Volta wa Ghana. Kawaida huadhimishwa katika mwezi wa Novemba. Inasemekana tamasha hili linazunguka kati ya Hohoe na Peki.[1][2][3]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Festival | The Embassy of the Republic of Ghana, Berlin, Germany" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-08-17.
  2. "History". www.gbidukor.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-01-24. Iliwekwa mnamo 2020-08-17.
  3. "National Commission on Culture - Ghana - Gbidukor Festival Launched". www.s158663955.websitehome.co.uk. Iliwekwa mnamo 2020-08-17.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Gbidukor kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.