Nenda kwa yaliyomo

Tamasha la Fofie Yam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tamasha la Fofie Yam linaadhimishwa na machifu na watu wa Nchiraa karibu na Wenchi katika Mkoa wa Brong Ahafo wa Ghana.[1] Tamasha hili huadhimishwa katika mwezi wa Oktoba kila mwaka.[1]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 "Festivals in Ghana". www.ghanaweb.com. Iliwekwa mnamo 27 Desemba 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Fofie Yam kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.