Nenda kwa yaliyomo

Tamasha la Fetu Afahye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tamasha la Fetu Afahye ni tamasha linaloadhimishwa na machifu na watu wa Cape Coast katika Mkoa wa Kati wa Ghana.[1] Tamasha hili huadhimishwa Jumamosi ya kwanza katika mwezi wa Septemba kila mwaka.[1] Tamasha la Fetu Afahye linaadhimishwa kila mwaka na watu wa Oguaa wa Cape Coast kwa sababu zamani kulikuwa na mlipuko wa ugonjwa uliouwa watu wengi. Watu waliomba miungu iwasaidie kutokomeza ugonjwa huo. Hivyo, tamasha hili huadhimishwa ili kuweka mji safi na kuzuia milipuko mingine isiwazuru watu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 "Festivals in Ghana". www.ghanaweb.com. Iliwekwa mnamo 27 Desemba 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Fetu Afahye kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.