Nenda kwa yaliyomo

Tamasha la Eddie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tamasha la Eddie ni tamasha la kila mwaka linaloadhimishwa na machifu na watu wa Wassa katika Mkoa wa Magharibi wa Ghana. Kawaida huadhimishwa katika mwezi wa Januari.[1][2][3][4]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Festivals Ghana - Easy Track Ghana". www.easytrackghana.com. Iliwekwa mnamo 2020-08-23.
  2. Kitcher (Mrs), Mavis (2011-03-30). Junior Graphic: Issue 534 March 30-April 5 2011 (kwa Kiingereza). Graphic Communications Group.
  3. Ghana and Its people (kwa Kiingereza). Intercontinental Books.
  4. Mwakikagile, Godfrey (2017-07-01). The People of Ghana: Ethnic Diversity and National Unity (kwa Kiingereza). New Africa Press. ISBN 978-9987-16-050-1.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Eddie kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.