Nenda kwa yaliyomo

Tamasha la Asikoe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tamasha la Asikoe ni tamasha la kila mwaka linaloadhimishwa na machifu na watu wa Anfoega katika Mkoa wa Volta wa Ghana. Kwa kawaida huadhimishwa mwezi wa Machi.[1][2][3]

Sherhe[hariri | hariri chanzo]

Wakati wa tamasha, wageni wanakaribishwa kushiriki chakula na vinywaji. Watu huvaa nguo za kitamaduni na kuna durbar ya machifu. Pia kuna kucheza na kupiga ngoma.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Festivals in Ghana". touringghana.com (kwa American English). 2016-02-24. Iliwekwa mnamo 2020-08-21.
  2. "GhanaReview International--- Ghana Tourism". ghanareview.com. Iliwekwa mnamo 2020-08-21.
  3. "Festivals – Slutchtours" (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-01-18. Iliwekwa mnamo 2020-08-21.
  4. "Major Festivals". www.ghanaembassyiran.com. Iliwekwa mnamo 2020-08-21.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Asikoe kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.