Nenda kwa yaliyomo

Tamasha la Asafotufiam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tamasha la Asafotufiam linaadhimishwa na machifu na watu wa Ada katika Wilaya ya Dangme Mashariki ya Mkoa wa Greater Accra wa Ghana.[1] Tamasha hili linaadhimishwa katika wiki ya kwanza ya mwezi Agosti kila mwaka.[1][2]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 "Festivals in Ghana". www.ghanaweb.com. Iliwekwa mnamo 27 Desemba 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "The GaDangme". thegadangme.com. Iliwekwa mnamo 2021-03-04.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Asafotufiam kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.