Nenda kwa yaliyomo

Tamasha la Adaakoya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tamasha la Adaakoya ni tamasha la mavuno linaloadhimishwa kila mwaka na machifu na watu wa Wagurunsi huko Bolgatanga na Zuarungu katika Mkoa wa Upper East wa Ghana.[1] Kawaida husherehekewa kati ya miezi ya Januari na Februari.[2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Goldstar Air | Tour Packages Upper East Region". flygoldstar.com. Iliwekwa mnamo 2020-08-21.
  2. "The Republic of Ghana Embassy Berlin Germany". h2829516.stratoserver.net. Iliwekwa mnamo 2020-08-21.
  3. "The Upper East Region - ghanagrio.com". ghananation.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-08-09. Iliwekwa mnamo 2020-08-21.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Adaakoya kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.