Tahuata

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kisiwa cha Tahuata

Tahuata ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa. Kiko upande wa kusini wa kisiwa cha Hiva Oa. Eneo la kisiwa ni 69 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Vaitahu. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 703. Watu wakaao kisiwani kwa Tahuata huongea Kimarkesa ya Kusini na Kitahiti.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.