Nenda kwa yaliyomo

Tahir Qureshi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tahir Qureshi Mtu wa Mikoko au Shujaa wa Mikoko wa Pakistan (1946-2020 Urdu بابائے مینگروز پاکستان ) [1] alikuwa mwanamazingira mkubwa wa Pakistani na mtaalam wa mfumo wa ikolojia ya pwani katika Umoja wa Kimataifa wa Uhifadhi wa Mazingira wa IUCN ambaye alijitolea maisha yake yote kwa uhifadhi wa mikoko huko Pakistani na maeneo mengine ya pwani.

Pia Tahir alihusika katika ukarabati wa zaidi ya hekta 30,000 za misitu ya mikoko huko Sindh na Baluchistan.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "'Father of Mangroves' fights for Pakistan's forests". 10 Novemba 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tahir Qureshi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.