Nenda kwa yaliyomo

Shirikisho la Skauti Kongo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Taasisi ya Skauti ya Congo)

Association des Guides du Burundi (Kiingereza Scout and Guide Association of the Congo), ni moja wapo ya asasi za Skauti katika Jamhuri ya Kongo (Brazzaville).ni asasi iliyoanzishwa mwaka 1992 ikiwa na vikundi harobaini na wanachama 3000 lakini hadi sasa hakuna kikundi chochote cha Skauti nchini humo inayotambuliwa na shirika la kimataifa la Skauti duniani . [1]

  1. UN NGO directory Archived Desemba 15, 2005, at the Wayback Machine