Taa ya Alladin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Aladdin na taa ya maajabu katika uchoraji wa Max Liebert

Taa ya Aladin ni kisa kimoja kati ya hadithi ya mkusanyiko wa fasihi wa Alfu Lela U Lela.

Aladdin ni kijana anayeambiwa na mchawi fulani kumchukulia taa ya mafuta kutoka pango moja. Mchawi anajaribu kumdangaya Aladdin kwa hiyo Aladdin hampi taa anapeleka kwake nymbani. Wakati mamake anataka kusafisha taa na kuisugua jinn mmoja mkuba anatoka katika taa. Huyu jinn anapaswa kumtii yeyote anayesugua taa na kuwita kwa njia hii.

Kwa msaada wa jinn Aladdin anakuwa mtajiri na kumwoa binti wa sultani. Baadaye mchawi anarudi akitaka kujipatia taa lakini kwa msada wa jinn Aladin anamshinda na kuishi kwa furaha pamoja na mkewe. Aladini pia alikua na nyani mdogo aliyempenda sana. kabla ya kuwa tajiri alikua mwizi mtaani akishirikiana na nyani wake hadi hapo alipopata taa hiyo ya mafutaa iliyobadilisha maisha yake

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu: