Taa
Mandhari
Taa ni kifaa kinachotoa nuru kwa kusudi la kuangaza mahali penye giza.
Siku hizi taa nyingi zinatumia nguvu ya umeme unaobadilishwa kuwa nuru.
Zamani taa zilikuwa kwa kawaida vifaa ambako mafuta, gesi au nta zilichomwa. Taa za aina ii ziko bado. Lakini sasa kwa watu wengi ni umeme uliokuwa chanzo cha nuru.
Picha za taa
[hariri | hariri chanzo]-
Taa ya kiwandani, mnamo miaka ya 1920
-
Taa ya mafuta iliyotengenezwa kutokana na kopo
-
Taa ya kiwandani yenye kinga dhidi ya pigo
-
Taa ya kutumia kando la kitanda