T'Keyah Crystal Keymáh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
T'Keyah Crystal Keymáh mjini Los Angeles, California mnamo Julai 3, 2019.
T'Keyah Crystal Keymáh mjini Los Angeles, California mnamo Julai 3, 2019.

T'Keyah Crystal Keymáh (jina la kuzaliwa: Crystal Walker; alizaliwa Oktoba 13, 1962) ni mwigizaji na mwimbaji wa Marekani. Anajulikana kama Erica Lucas kwenye CBS.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu T'Keyah Crystal Keymáh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.