Svetlana Alekseeva (mtumbuizaji wa barafuni)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Svetlana Lvovna Alekseeva (Kirusi: Светлана Львовна Алексеева; alizaliwa tarehe 16 Machi 1955) ni kocha wa mchezo wa kutumbuiza kwenye barafu na alikuwa mtumbuizaji wa kuteleza kwenye barafu kutokea Urusi.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Ushindani[hariri | hariri chanzo]

Alekseeva alishindana katika utumbuizaji wa barafu pamoja na Alexander Boychuk. Walishinda taji la vijana la Sovieti mnamo mwaka 1970.

Kazi ya baadaye[hariri | hariri chanzo]

Alekseeva alianza kufundisha mchezo huo mwaka 1977 na alifanya kazi na Tatiana Tarasova kwa miaka kumi na tatu.[1] Tangu mwaka 2001, amekuwa akifundisha pamoja na Elena Kustarova.[1] Mwaka 2006, walihama na kujiunga na Klabu ya Mchezo wa Kuteleza kwenye Barafu ya Blue Bird huko Moscow na kisha kuelekea kwenye kiwanja kipya huko Medvedkovo mnamo majira ya kiangazi ya 2012.[1]

Alekseeva anafundisha kwa kushirikiana na Elena Kustarova na Olga Riabinina. Wanafunzi wake wa sasa ni pamoja na (miaka ya kufundisha imeandikwa kwenye mabano):

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 1.2 "Здесь и сейчас | : История становления группы Алексеевой — КустаровойМосковский фигурист" (kwa ru-RU). Iliwekwa mnamo 2023-07-30.