Sumaya Komuntale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sumaya komuntale
Nchi Uganda
Kazi yake mchezaji wa mpira wa miguu





Sumaya Komuntale alizaliwa Agosti 3 ,2003 ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Uganda anaechezea nafasi ya beki wa kushoto katika timu ya wanawake FUFA , timu ya Queen fc pamoja na timu ya taifa ya wanawake nchini Uganda.

Marejeo.

Jamii