Nenda kwa yaliyomo

Storm (komiki)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Storm (Dhoruba)
Maelezo ya chapisho
MchapishajiMarvel Comics
Kujitokeza kwanza Giant-Size X-Men #1 (Mei 1975)
Waumbaji Len Wein
Dave Cockrum
Maelezo
Jina halisiOroro Iqadi T'Challa (Munroe)
SpishiMutanti
UshirikianoX-Men
Fantastic Four
Lady Liberators
X-Treme X-Men
Morlocks
Hellfire Club
X-Treme Sanctions Executive
UwezoMamlaka ya hali ya hewa,
Mruko

Storm (Kiswahili: Dhoruba; Ororo Iqadi T'Challa, Munroe) ni supa-shujaa wa Kenya, anayetoka ulimwengu wa Marvel Comics. Alikuwa mwanachama wa timu ya pili ya X-Men na baadaye mkuu wa timu ya dhahabu. Storm ni mutanti mwenye uwezo kutawala ya hali ya hewa.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Storm (komiki) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.