Stories of Our Lives
Mandhari
Stories of Our Lives;Ni filamu ya Kenya iliyotolewa mnamo Mwaka 2014.filamu hii imetengenezwa na washirika kutoka kundi maarufu la The Nest Collective.filamu hii imetengenezwa na mkusanyiko wa filamu tano za matukio zinazo igizo visa halisi vinavotokea kwenye jamii nchini Kenya.[1]
marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-11-29. Iliwekwa mnamo 2022-08-08.