Soad Hosny
Soad Hosny | |
---|---|
![]() Soad Hosny | |
Amezaliwa | Soad Hosny 26 Januari 1943 Kairo |
Jina lingine | Cinderella |
Kazi yake | mwigizaji mzaliwa wa Kairo. |
Miaka ya kazi | 21 Juni 2001 |




Soad Hosny 26 Januari 1943 [1] – 21 Juni 2001 alikuwa mtu wa misri[2] mwigizaji mzaliwa wa Kairo.Alikuwa anajulikana kama Cinderella katika filamu za misri na yeye ni miongoni mwachezaji filamu wenye ushawishi mkubwa katika mashariki ya kati na ulimwengu wa kiarabu.[3] Alipata umaarufu mwishoni mwa miaka ya 1950, akiigiza katika zaidi ya filamu 83 kati ya 1959 na 1991 akiwa na deni la filamu 9 katika filamu 100 kubwa zaidi katika historia ya Sinema ya Misri.Filamu zake nyingi zilirekodiwa kipindi ya 1960 na 1970.Alionekana mara ya mwisho katika filamu ya mwaka 1991,katika The Shepherd and the Women iliyokuwa ikiongozwa na Aliyekuwa Mume wake wa zamani
marejeo[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Soad Hosny kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Soad Hosny kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |