Siku ya nyota

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Siku ya nyota (ing. sidereal day) ni mfumo wa kupima urefu wa siku ambao hutumiwa kwa kawaida na wataalamu wa anga. Katika mfumo huu, urefu wa siku hupimwa kama muda ambapo nyota za mbali zinarudia mahali pale pale angani. Muda huu ni tofauti na siku kawaida kwa kuwa mwendo wa Dunia kuzunguka Jua husababisha nyota za mbali kuenda polepole kuliko Jua.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Siku ya nyota kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.