Sigismund von Kollonitsch
Mandhari
Sigismund von Kollonitsch (Vienna, 30 Mei 1677 – 12 Aprili 1751) alikuwa Askofu wa Scutari, Askofu wa Waitzen, na kutoka 1716 hadi 1722 alikuwa Prince-Bishop wa Vienna.
Kuanzia 1722 hadi 1751 alikuwa Askofu Mkuu wa Vienna. Aliteuliwa kuwa Kardinali na Papa Benedikto XIII mwaka 1727.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ J. Siebmacher´s großes Wappenbuch Band 26; Die Wappen des Adels in Niederösterreich Teil 2, S – Z, Reprintausgabe der Bearbeitung durch Johann Baptist Witting (Nürnberg 1918), S 615; Verlag Bauer und Raspe, Inhaber Gerhard Geßner, Neustadt an der Aisch, 1983.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |