Sidiria
Mandhari
Sidiria (kutoka neno la Kiarabu sadriyya) ni vazi la wasichana na akina mama ambalo huvaliwa kusetiri na kushikilia matiti.
Mavazi ya kuogelea kama swimsuit yanaweza kuwa na sidiria zilizoshikanishwa na vazi la kuogelea.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sidiria kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |