Shirika la Bidhaa Pepe Huru
Mandhari
| Free Software Foundation Shirika la Bidhaa Pepe Huru | |
| Aina ya jumuiya: | NGO na ni Shirika Lisilo na Maslahi |
|---|---|
| Mahali: | Boston, Massachusetts |
| Uga: | Bidhaa pepe Huru |
| Huduma: | GNU Project GPL LGPL GFDL |
| Tovuti: | www.fsf.org |
Free Software Foundation (FSF) ni Shirika Lisilo la Kiserikali. Lilianzishwa mnamo tar. 4 Oktoba ya mwaka wa 1985 na Richard Stallman kwa lengo la kusaidia harakati za bidhaa pepe huru ("huru" na "uhuru zaidi"), ususani ilikuwa kwa ajili ya mradi wa GNU.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shirika la Bidhaa Pepe Huru Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
