Nenda kwa yaliyomo

Sheria ya Fidia kwa Waathiriwa wa Ponografia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sheria ya Fidia kwa Waathiriwa wa Ponografia ya mwaka 1991 ilikuwa ni muswada, S. 983, katika Bunge la Marekani.

Mdhamini wa muswada huu katika Seneti alikuwa Seneta Mitch McConnell[1] pamoja na wadhamini wenza wanane.

Kamati ya Seneti ilifanya vikao vya kusikiliza kuhusu muswada huo. Hata hivyo, muswada haukupigiwa kura, haukupitishwa, na haukuwa sheria.

  1. "Feminists Back Anti-Porn Bill - ProQuest". www.proquest.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-06-20.
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sheria ya Fidia kwa Waathiriwa wa Ponografia kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.