Shawn Desman
Mandhari
Shawn Bosco Fernandes (alizaliwa 12 Januari, 1982), anayejulikana kwa jina lake la kisanii Shawn Desman, ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mcheza densi, na mchoraji wa miondoko kutoka Kanada.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Music Canada - Gold/Platinum". musiccanada.com. Februari 20, 2003. Iliwekwa mnamo Novemba 1, 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shawn Desman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |