Nenda kwa yaliyomo

Shannon Kook

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shannon Kook

Amezaliwa Shannon Kook
9 February 1987
Johannesburg
Nchi Afrika Kusini
Kazi yake Mwigizaji

Shannon Kook (Alizaliwa huko Shannon Xiao Lóng Kook-Chun mnamo tarehe 9 February 1987) ambaye pia ni mwigizaji nguli kutokea nchini Afrika Kusini.[1] Anajulikana zaidi kwa majukumu yake katika safu ya runinga hii ikijumuisha baadhi ya filamu pendwa kama vile, Degrassi: The Next Generation (2010–2011), Carmilla (2015–2016), Shadowhunters (2017), and The 100 (2018–2020), pamoja na jukumu lake kama Drew Thomas katika filamu yake ya franchise The Conjuring Universe|The Conjuring (2013–2021).

Maisha ya Awali

[hariri | hariri chanzo]

Kook-Chun alizaliwa Johannesburg, huko Afrika Kusini kwa baba wa Kimauritania mwenye asili ya watu wa China | Wachina na mama wa Afrika Kusini mwenye Rangi ya Cape. Baadae alihamia huko Montreal ili aweze kuhudhuria Shule ya Kitaifa ya Uigizaji ya Kanada.[2]

Jukumu la kwanza la Kook katika kuitangaza fani yake ya uigizaji lilikuwa katika safu ya runinga ya Canada ‘’Being Erica’’ mnamo 2009. Anajulikana zaidi kimataifa kwa majukumu yake kama Zane Park kwenye Degrassi: The Next Generation ( 2010-2011) na kama Duncan kwenye Shadowhunters (2017).

Mnamo 2014, Kook, Alexandre Landry, Sophie Desmarais, na Julia Sarah Stone, walichaguliwa kwa mpango wa Tamasha la Kimataifa la Filamu la Toronto, tofauti ya kila mwaka inayoangazia waigizaji wanne wa juu na wanaochipukia kwa kasi wa Canada, watengenezaji wa talanta na watengenezaji wa filamu kwenye tamasha hilo.[3][4]


  1. Langford, Anthony D. (17 Agosti 2010). "From "DeGrassi" to "Verona": Shannon Kook-Chun on Playing Gay, Fitting in and More!". LogoTV. TheBacklot.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Desemba 3, 2013. Iliwekwa mnamo Mei 7, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "An Evening With Degrassi's Shannon Kook-Chun". ChicagoTalks. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 Desemba 2010. Iliwekwa mnamo 21 Mei 2013. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Ahearn, Victoria (2014-08-31). "Shannon Kook named TIFF's 'rising star'". CTVNews (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-05-07.
  4. Brown, Phil (2014-09-07). "Two rising stars get a boost from TIFF". Toronto Star (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-09. Iliwekwa mnamo 2021-05-07. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shannon Kook kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.