Nenda kwa yaliyomo

Shain Neumeier

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Shain A. Mahaffey Neumeier (alizaliwa 1987) ni wakili Mmarekani mwenye tawahudi na asiyetambua jinsia yake. Neumeier ni mtetezi dhidi ya matibabu ya kulazimishwa, ikiwemo kampeni ya kufunga Kituo cha Judge Rotenberg, taasisi kwa ajili ya watu wenye ulemavu wa ukuaji. Pia ni mwanaharakati wa haki za wenye tawahudi, haki za wenye ulemavu, na sababu nyingine zinazohusiana.[1][2]

Maisha binafsi

[hariri | hariri chanzo]

Neumeier ana ulemavu kadhaa ikiwa ni pamoja na ugonjwa wa msongo wa mawazo baada ya ajali (post-traumatic stress disorder), mdomo na kinywa chenye mapungufu (cleft lip and palate), na ugonjwa wa ectodermal dysplasia.[3][4][5]

  1. POWELL, R. M. Disability Reproductive Justice. University of Pennsylvania Law Review, [s. l.], v. 170, n. 7, p. 1851–1903, 2022. Disponível em: https://search.ebscohost.com/login.aspx?direct=true&db=a9h&AN=163323797&site=eds-live&scope=site. Acesso em: 7 jun. 2023.
  2. "Activists Tell FDA Head: Ban Electric Shocks on People With Autism - Rewire.News", Rewire.News. (en-US) 
  3. Neumeier, Shain M. (2015-05-21). "About". Silence Breaking Sound (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-04-11. Iliwekwa mnamo 2023-06-07.
  4. Working with Autistic Transgender and Non-Binary People: Research, Practice and Experience. (2021). United Kingdom: Jessica Kingsley Publishers. p188 (contributor profile)
  5. Wang, Alexandra (2018-09-23). "Shain Neumeier: Advice on Autism, Non-Binaries, and Transgenderism: Treatment, Laws, and Ethics". Iliwekwa mnamo 2024-10-14.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shain Neumeier kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.