Nenda kwa yaliyomo

Seth MacFarlane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Seth Woodbury MacFarlane
Muigizaji Seth MacFarlane mnamo Julai 2012
Muigizaji Seth MacFarlane mnamo Julai 2012
Jina Kamili {{{jina kamili}}}
Nchi Marekani
Alizaliwa 26 Oktoba 1973,Kent, Connecticut,Marekani
Kazi yake Mwigizaji wa filamu na Mtayarishaji wa Vipindi vya Televisheni

Seth Woodbury MacFarlane (amezaliwa tar. 26 Oktoba mwaka 1973 huko mjini Kent, Connecticut) ni mwigizaji wa filamu na mtayarishaji wa vipindi vya televisheni kutoka nchini Marekani.

Tamthilia

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Tamthilia Aliigiza kama Maelezo
1995 The Shnookums and Meat Funny Cartoon Show Rhode Island Bug Kipindi cha 2.3: "Bugging Out!"
1996 The Life of Larry and Larry & Steve Larry
Steve
1996–1998 Jungle Cubs Mwandishi
1996 Ace Ventura: Pet Detective Mwandishi
1997–2002 Johnny Bravo Mwandishi
vipindi 46
1997–1998 Dexter's Laboratory Mwandishi
vipindi 23
1997 Cow and Chicken Mwandishi
vipindi 3
1999–2002,
2005–hadi leo
Family Guy Peter Griffin
Stewie Griffin
Brian Griffin
Glenn Quagmire
Mtayarishaji/Mwandishi
2002–2003 Gilmore Girls Zach / Bob Merriam Kipindi 2.21: "Lorelai's Graduation Day"
Kipindi 3.11: "I Solemnly Swear"
2003 Aqua Teen Hunger Force Wayne the Brain Kipindi 2.10: "Super Trivia"
The Pitts Sauti Kipindi 1.3: "Squarewolves"
2003–2005 Crank Yankers Dick Rogers
Arthur Johnson
2004 Complete Savages Mtangazaji habari Kipindi 1.4: "Nick Kicks Butt"
2004–2005 Star Trek: Enterprise Ensign Rivers Vipindi 3.20: "The Forgotten" na 4.15: "Affliction"
2005–2010 Robot Chicken Mwenyewe Vipindi 16
2005 [Inside the CIA Stan Smith
Roger
Mwandishi/Mwigizaji
2005–hadi leo American Dad! Stan Smith
Roger Smith
Greg Corbin
2006 The War at Home Hillary's Date Kipindi 2.5: "I Wash My Hands of You"
2007 Help Me Help You Seth Kipindi 1.13: "Moving On"
Robot Chicken: Star Wars Emperor Palpatine
The Family Guy 100th Episode Celebration Mwenyewe
Yin Yang Yo! The Manotaur Sauti
Hulu Mwenyewe
59th Primetime Emmy Awards Stewie Griffin
Brian Griffin
2008 Robot Chicken: Star Wars Episode II Emperor Palpatine
2008–2009 Seth MacFarlane's Cavalcade of Cartoon Comedy Vipindi 19
2009 Bones Stewie Griffin Kipindi 4.25: "The Critic in the Cabernet"
2009 The Proms 2009 Mwenyewe Prom 22: John Wilson Orchestra - A Celebration of Classic MGM Film Musicals - Singer
2009–2010 FlashForward Agent Jake Curdy
FBI Agent
Kipindi 1.1: "No More Good Days" and 1.15: "Queen Sacrifice";
2009–hadi leo The Cleveland Show Tim the Bear
Mtayarishaji
2010 Phineas and Ferb Jeff McGarland Kipindi 2.33: "Nerds of a Feather"
Comedy Central Roast of David Hasselhoff Mwenyewe
2010 Robot Chicken: Star Wars Episode III Emperor Palpatine
2011 Comedy Central Roast of Donald J. Trump Mwenyewe
2011 Comedy Central Roast of Charlie Sheen Mwenyewe
2011 Rove LA Mwenyewe Kipindi 1.10: "Seth MacFarlane, will.i.am and Lauren Graham"
2011 Night of the Hurricane Peter Griffin
Stewie Griffin
Brian Griffin
Glenn Quagmire
Tom Tucker
Stan Smith
Roger
2012 FOX 25th Anniversary Special Himself
Peter Griffin
Stewie Griffin
Brian Griffin
Stan Smith
2012 Saturday Night Live Mwenyewe Kipindi 38.1: "Seth MacFarlane/Frank Ocean"
2012 Shark Tank Mwenyewe
2012 The Proms 2012 Mwenyewe
2012 Family Guy: 200 Episodes Later Mwenyewe
2013 85th Academy Awards Mwenyewe
2013 The Simpsons Ben Kipindi 25.1 "Dangers on a Train"
2014 Cosmos: A Space-Time Odyssey Mtayarishaji Vipindi 13


WikiMedia Commons
WikiMedia Commons


Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Seth MacFarlane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.