Sereddeli
Mandhari
Sereddeli ulikuwa mji wa kale wa Dola la Roma, katika Mauretania Caesariensis ,kaskazini mwa Afrika.
Sereddeli ulikuwepo kipindi cha himaya ya Wavandali na Roma hadi zama za mwisho. Ulikuwepo hadi kipindi cha utawala wa Kiislamu wa Maghreb.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Cheney, David M. "Sereddeli (Titular See) [Catholic-Hierarchy]". www.catholic-hierarchy.org. Iliwekwa mnamo 2018-01-29.
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sereddeli kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |