Nenda kwa yaliyomo

Seminari ya Kitaifa ya Kanisa Katoliki nchini China

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Seminari ya Kitaifa ya Kanisa Katoliki nchini China

Seminari ya Kitaifa ya Kanisa Katoliki nchini China (kwa Kichina: 中国天主教神哲学院) ni chuo kikuu cha Kikatoliki kilichopo Wilaya ya Daxing, Beijing, mji mkuu wa China.[1]

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Seminari ya Kitaifa ya Kanisa Katoliki nchini China ilianzishwa mnamo Septemba 1983. Ufunguzi rasmi wa chuo kikuu hicho ulifanyika tarehe 24 Septemba, 1983.

Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Seminari ya Kitaifa ya Kanisa Katoliki nchini China kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.