Selly Galley

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Selly Galley
Amezaliwa Selorm Galley Fiawoo
25 setemba 1987
Ghana
Kazi yake mtangazaji
Miaka ya kazi msimu nane
Ndoa aliolewa na msanii nyota

Selly Galley (jina kamili: Selorm Galley-Fiawoo; alizaliwa 25 Septemba 1987) ni mtangazaji wa kwenye runinga na mwigizaji kutoka nchini Ghana, na aliwahi kuwa mshiriki wa Big Brother Africa msimu wa nane.[1][2]

Maisha Binafsi[hariri | hariri chanzo]

Selly aliolewa na msanii nyota wa muziki wa Hip Hop wa nchini Ghana Praye Tietia,.[3][4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Selly Galley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.