Sasho Cirovski
Mandhari
Sasho Cirovski (alizaliwa Masedonia Kaskazini, 14 Oktoba 1962) ni kocha wa soka wa timu ya Chuo Kikuu cha Maryland. Alilelewa huko Windsor, Ontario Kanada. Cirovski aliiongoza timu ya Chuo Kikuu cha Maryland kufika kwenye mashindano ya NCAA na kushinda ubingwa mwaka 2005, 2008, na 2018.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Sasho Cirovski soccer statistics on StatsCrew.com".
- ↑ Cirovski Leaves Hartford To Coach At Maryland
- ↑ "Cirovski wins 400th game in 5–4 win", umterps, October 13, 2017. Retrieved on October 15, 2017. Archived from the original on 2018-04-25.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sasho Cirovski kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |