Safari Tripers
Mandhari
Safari Tripers ni moja ya bendi za muziki wa dansi kutoka nchini Tanzania. Kwa sasa bendi hii haipo tena katika ulimwengu wa muziki. Bendi hii ilikuwa na maskani yake jijini Dar es salaam.
Mwanamuziki mahili ambaye kwa sasa ni marehemu Rajab Marijani aliwahi kuwa kiongozi wa benndi hii.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Safari Tripers kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |