Nenda kwa yaliyomo

Sarit Center

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka SARIT CENTER)

Sarit Center ni Jumba la Biashara liloko mtaani Westlands, Nairobi Kenya. Ndani yake kuna maduka mengi pamoja na supamaketi ya Uchumi, sinema, hoteli, vyumba vya maonyesho na mikutano pamoja ofisi na kliniki za madaktari.

Sarit Center ilikuwa jumba kubwa la biashara la kwanza katika Kenya.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]

Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 25 Juni 2011 kwenye Wayback Machine.