Ruth Kinuthia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ruth Kinuthia ni mpodowaji bingwa wa kenya na mwenye cheo cha shindano la urembo.[1][2]

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Kinuthia alishinda Miss Kenya 2008 akiwa na umri wa miaka 26 na aliwakilisha nchi yake katika Miss Dunia 2008 huko Afrika Kusini. Alisomea usimamizi wa biashara ya kimataifa na ana shahada ya sheria.[onesha uthibitisho]

Baadaye Kinuthia alianzisha biashara yake ya kupodoa, na Mnamo 2016 alishinda kama Mpodoaji bora wa mwaka katika Tuzo ya Mitindo ya Kenya.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]


  1. 1.0 1.1 "ONE ON ONE: Award-winning makeup guru Ruth Kinuthia - Daily Nation". www.nation.co.ke. Iliwekwa mnamo 2019-04-20. 
  2. "Ruth Kinuthia, founder, Make-up By Ruthie" (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2019-04-20.