Ruth Blasio Msafiri
Mandhari
Ruth Blasio Msafiri (amezaliwa 4 Oktoba 1962) alikuwa mbunge wa jimbo la Muleba Kaskazini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania kwa miaka kumi.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Mwaka 2015 aliteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Kibondo iliyopo Kigoma na 2016 alihamishiwa Njombe kuwa mkuu wa wilaya ambapo alikaa kwenye cheo hicho kwa miaka mitano na kustaafu 2021.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Mengi kuhusu Ruth Blasio Msafiri". 13 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
| Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ruth Blasio Msafiri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |