Roxie Roker
Mandhari
Roxie Roker | |
---|---|
Roker mwaka 2008 | |
Amezaliwa | Roxie Albertha Roker Agosti 28, 1929 Miami, Florida, Marekani |
Amekufa | Desemba 2, 1995 (umri 66) |
Kazi yake | Mwigizaji |
Miaka ya kazi | 1974-1995 |
Ndoa | Sy Kravitz (1962–1985) |
Roxie Albertha Roker (28 Agosti 1929 – 2 Desemba 1995) alikuwa mwigizaji Mmarekani, aliyejulikana zaidi kama Helen Willis katika tamthiliya ya futuhi ya televisheni The Jeffersons, mke wa mwanamume mweupe (mmoja wa wachumba wa kwanza wa mbari tofauti kwenye televisheni). Yeye ni mama wa mwanamuziki, Lenny Kravitz, nyanya wa mwigizaji, Zoë Kravitz na bintiamu wa Al Roker kutoka Today Show ya NBC.