Roque de los Muchachos

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima Roque de los Muchachos

Roque de los Muchacos ni mlima wa Hispania, ambao uko katika kisiwa cha Palma (Visiwa vya Kanari, Hispania).

Ina urefu wa mita 2,423.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]


Tazama pia[hariri | hariri chanzo]